Edward Ombui Swahili short story writer, poet and winner of Taifa Leo Annual Insha Competition

Mahubiri na Edward Ombui

Mhubiri alimaka kwa Heshima zake

najua tumekosea sana

Mikono na roho zetu ni chafu

Mkane

Muitikie

Huno ni ukweli

Katu uwongo sisemi

 

Sikiza

Mungu baba amenituma

Kanipa ujumbe nikiwa gonezini

Nakumbuka kono kubwa

Likiandika ukutani

Kwa wino usiofutika

GIZA

Neno lilisomeka

Upande mwingine nikaona

Hakimu ameketi kiti chake

Mikononi mebeba jitabu

Mbele yake halaiki

 

Kwa ufito wale akapiga ardhi

Yule hakimu mkubwa

Mstari mkubwa ukatokea

Ardhi ikapasuka na

Ndani yake moto mkuu

Halaiki ile ikatupwa mle na

Wanajeshi waliomzunguka

Simba mweusi

Akarukia Wale watu na

Kuwanata shingoni

Na mwisho wa shimo

Wakaanguka wote kwa ukemi!

Simba akaanza kuwararua

Wakibweka vilio!

Copyrights© Edward Ombui,2018

___________________________________________________________

Edward Mogusu is Swahili short story writer, poet and winner of Taifa Leo Annual Insha Competition. Edward who developed his reading culture at a tender age,loves reading novels and performing spoken word poetry.He has written several short stories and over 100 Swahili poems that are to be published soon. He adds that his works are based on themes such as tribalism, domestic violence, religious hypocrisy and bad governance.He has been featured in Kenyan Newspapers and won a creative writing competition among other achievements.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s